MRADI KATIKA PICHA
Matukio mbalimbali ya mradi - Monduli

 

Hili ni eneo la hifadhi ya msitu ambalo lilikuwa likikaliwa na familia mbalimbali.
HII  ni sehemu ya kitalu cha Kikundi Cha Wanawake cha Jiendeleze
moja ya vbikundi vinavyo saidiwa na mradi

 

Matron Msaidizi wa MCT Monduli akipokea Reki Mbili kutoka kwa Mgeni Rasmi.
Umwagiliaji katika moja ya vitalu , kwa kutunia moja ya vifaa vilivyotolewa na Mradi.
22-februari-2000 Tulitembelea moja ya Vitalu binfasi , huko Mto wa Mbu

 

Rais Benjamin William Mkapa, Akipnda mche wa mti huko Enguik - Tarehe 18 february 2000.
Alizindua mradi wa Mradi wa Maji wa Vijiji vya Enguik na Emairete.

Kondoo na Mbuzi wakinywa MAji katika chanzo cha maji kwenye Hifadhi ya msitu wa ESSIMNGORI.
Tarehe 23 February 2000.
Kijana wa kimasai akiwa na Ofisa mradi wa Monduli , Essimingori tarehe 23 february 2000.

 


Mbunge wa Monduli Mhe. Edward Lowasa , akipanda mche wa mti - tarehe 18 february ,2000.
Tulitembelea Hifadhi ya msitu ya Essimgori - tarehe 23 Februari, 2000.

 11/9/99-Afisa Mradi wa Monduli akitoa Zawadi kwa kikundi cha dansi cha Ereti, kilicho tumbuiza vizuri wakati wa uzinduzi wa mradi wa Monduli - Huko Enguiki.

^
Rudi Juu ya Ukurasa.