ARI - MONDULI

Introducing Jatropha to create Alternative Resources
Income for Women in Monduli District, Tanzania ( 2001 - 2001)
PROJECT SPONSORED BY
McKnight Foundation and executed by HPI - Tanzania, FAIDA- SEP,GEF -
Biodiversity
Project and KAKUTE Limited.
ARI - Alternative Resources for Women's Income in Monduli District
What is it?
The project works with Heifer project international - Tanzania program,
KAKUTE, FAIDA and GEF - Tanzania on Jatropha System as alternative
resources for Women's income in Monduli district Arusha region in
Tanzania.
The core of the project is the dissemination of an exciting environmental
friendly and alternative Income generating for pastoralist women.
In the project HPI - Tanzania, KAKUTE, FAIDA and GEF views its work and
that of our partner agencies in helping establishing the rural industries
for income generating project for women in Tanzania.
Jatropha
Jatropha ( Jatropha curcas L.) is a drought resistant perennial growing
well on marginal soils. it is easy to establish, grows relatively quickly
and lives and produces its seed for up to 50 years.
Jatropha is widely used as a living fence to protect fields from browsing
animals and as a

hedgerow to prevent wind and water erosion.
The seeds of Jatropha contain a viscous non-edible oil which can be used
for manufacturing candles; the production of high quality soap; as a raw
material for cosmetic products; for cooking and lighting; as a substitute
for diesel fuel etc. at the end of t he project the result will be new
rural industries of soap making and fuel production through which rural
women can increase their income.
Present Situation
At the moment, the potential of Jatropha for the Northern Zone of Tanzania
is not completely clear.
What it Does
The current project does research on the technical and economic features
of Jatropha cultivation, processing and marketing which will focus on
developing a small scale, commercial Jatropha oil industry. This pilot
project will prepare the ground for a possible follow - up project of 3 to
4 years.
If you find this expression to be acceptable and of interest to your
organization, then we request to meet or communicate with you.
For further information please contact
Jatropha Project coordinator.
P.O. Box 13954, Arusha
Tel - 027 254 4549
Email: Kakute@tz2000.com
|
ARI MONDULI
Mradi waRasilimali mmbadala kuinua kipato kwa akinamama Monduli -
Tanzania.
(2000 - 2001)
Ni kitu gani?
Ni mradi wa rasilimali mmbadala kuinua miradi ya uzalishaji kuinua miradi
ya uzalishaji kwa aknimama wa Monduli. Mradi huu unaendelezwa na
kusimamiwa na shirika la mitamba Tanzania na kakuate Ltd wakishirikiana na
Faida pamoja na mradi wa Baionuai.
Lengo ni kuanzisha na kusambaza technolojia zinzotokana na zao la mbono
kama nishati na zao la biashara katika maeneo yalioathirika ilili kuongeza
kipato na kuhifadhi mazingira kwenye maeneo ya jamii ya kimaasai.
HPI -Tanzania, KAKUTE, FAIDA na GEF wanatambua kazi yao na ile inayofanywa
na mashirika mengine hasa katika kusaidia kuanzisha miradi ya uzalishaji
na viwanda vidogo vidogo vijijini ili kupunguza makali ya umaskini has kwa
wakina mama.
Tunafanya nini?
Mradi wa mmbono unalenga kuanzisha na kuendeleza shughuli za uzalishaji
kwa vikundi vya akinamama wa Monduli kwa kutumia rasilimali na nishati
iliyopo kwenye mmea huu.
Mmbono
Ni aina ya mti unaostahimili ukame na kustawi vizuri katika maeneo yaliyo
na ardhi duni. Ni rahisi kuuotesha na hukuwa haraka na kuendeleza kuwepo
kwa zaidi ya miaka 50.

Sehemu nyingi hutimika kama uzio kuzuia wanyama waharibifu na upepo mkali.
Mbegu zake hutoa mafuta ambayo sio chakula lakini huweza kutumika
ketengeneza sabuni na kutumika kama nishati kuwashia taa na jiko.
Hali halisi
Faida zitokananzo na zao hili hazijulikani miongoni mwa
jamii iliyoko kaskazini mwa Tanzania.
Mradi Unafanya nini?
Mradi huuu unafanay utafiti wa masoko kuangalia uwezekano wa kutumia
rasilimali zilzopo mmea huu kwa kuongeza uzalishaji na kusindika malighafi
zitokanazo tumika kuzalisha bidhaa ili kuanzisha na kukuza viwanda
vijijini.
Huu utakuwa ni msingi wa mradi unaokusudiwa kwa miaka
miwili hadi mitatu.
MASWALI AMBAYO HUULIZWA MARA NYINGI KUHUSINA NA ZAO LA MMBONO (JATROPHA)
Je ni kweli unaweza kutumia mafuta ya mmbono kulainisha au kuendesha
mitambo?
Ni kweli. Kutokana na majaribio yaliyofanyika kwenye kampuni moja
inayoitwa TMW - Engine Factory ya huko Ujerumani imeonyehsa kwamba mafuta
halisi ya mmbono yanweza kutumika kama mafuta ya kuendesha au kulainisha
mitambo inayotembea kwenye saa 400. ( hasa Injini lista kutoka India.)
Je Uzalishaji wa zao la mmbono ukoje?
Huko Nikaragua shamba lenye ukubwa wa hekta moja liliweza kutoa mbefu
kiasi cha taini tano. Na huko Mali uzio wenye urefu wa mita 1 walipata
gramu 800 ambapo inaonyehsa shamba la hekta moja linaweza kutoa kiasi cha
tani 2 - 2.5 za mbegu.
|
Ni madawa gani yanayotokana na zao
hili na huwa yanatibu magonjwa yapi?
Kwa kuwa zao hili linaangukia katika jamii ya euphobiacease linakaribiana
sana na zao la nyonyo. Hivyo basi mbegu zake na mafuta yatakuwa na sifa
zinzofanana.
Mafuta yake yanaweza kutumika kulainisha tumbo au kutumika kama dawa ya
kuharisha.
Ute mweupe utakao kwenye shina unatumika kuponyehsa vidonda vya mdomoni
kwa watoto wachanga; na vile vile husaidia kugandisha damu kwenye jeraha.
Majani yake ni dawa nzuri ya kuchuwa kuondoa uchovu na maumivu ya viungo.
Sabuni ya mmbono huondoa chunusi na mafuta yake hutubu baadhi ya magonjwa
ya ngozi kama vile neuodermitis.
Kwa mawasiliano zaidi tuandikia au piga simu kwa anuani hii.
KAKUTE Limited.
P.O. Box. 13954, Arusha
Tel: 255 27 254 4549
Email: Kakute@tz2000.com
|